UJIO WA MH. DK. J. M. KIKWETE CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO TAREHE 14/03/2013 1. MWANDISHI BLOG HII WAKATI WA MAPOKEZI 2. MAANDALIZI SEHEMU ATAKAYOPANDA MTI MH. RAIS 3. NIMECHOKAAAAA 4. MAKAMU WA MKUU WA CHUO PROF. HAMZA NJOZI AKIMPA MAELEZO MH. RAIS WAKATI WA UZINDUZI WA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ICT PHASE 1 5. MKUU WA CHUO HAJAT MWAMTUMU MALALE AKIHUTUBIA HADHARA 6. MH. RAIS AKIZINDUA UJENZI WA MRADI WA ICT CHUO KIKUU CHA WAISLAMU MOROGORO. 7. MH. RAIS AKIONESHWA MAABARA MPYA KATIKA JENGO LA SAYANSI BAADA YA KULIZINDUA 8. MH. RAIS AKIZINDUA JENGO LA SAYANSI 9. UMATI ULIOJITOKEZA KUSIKILIZA HOTUBA YA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. 10. MH.RAIS AKIKATA UTEPE KUZINDUA JENGO LA KITIVO CHA SAYANSI