MAHAFARI YA CHAMA CHA MAPINDUZI, MKOA MAALUM WA VYUO VIKUU - MOROGORO, JUNE 2013 Mahafari ya kuwaaga wahitimu wa vyuo vikuu Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu - Morogoro yaliyofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi (Magadu Mess). Mgeni rasmi alikuwa Mh. Mwigulu Lameck Nchemba (MB) Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, ambaye aliambatana na Mh. Mary Mwanjelwa (MB) Viti Maalum - Mbeya, Mh. Juma Njwayo (MB) Tandahimba, Mwampamba, na wengine wengi. Mahafari hayo yaliwahusisha wahitimu kutoka vyuo Vikuu vya MUM, SUA, Mzumbre, Jordan na Ardhi Institute - Morogoro
Posts
Showing posts from June 1, 2013