Posts

Showing posts from June, 2013
Image
MAHAFARI YA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA MOROGORO, SHUGHULI INAANZIA HAPA      Pichani Mh. Diwani Mtarajiwa.      Pichani (juu na chini) Ndg. Richard Kasesera na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Shirikisho la vyuo Vikuu Morogoro Pichani mh. Naibu Waziri January Makamba katika Mahafari ya Shirikisho la Vyuo Vikuu Chama cha Mapinduzi, Morogoro.
Image
DIWANI MTARAJIWA KATA YA KINONDONI
Image
AT MUM - HUMAN RIGHTS ASSOCIATION CEREMONIES ON 2nd JUNE 2013
Image
MAHAFARI YA CHAMA CHA MAPINDUZI, MKOA MAALUM WA VYUO VIKUU - MOROGORO, JUNE 2013 Mahafari ya kuwaaga wahitimu wa vyuo vikuu Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu - Morogoro yaliyofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi (Magadu Mess). Mgeni rasmi alikuwa Mh. Mwigulu Lameck Nchemba (MB) Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, ambaye aliambatana na Mh. Mary Mwanjelwa (MB) Viti Maalum - Mbeya, Mh. Juma Njwayo (MB) Tandahimba, Mwampamba, na wengine wengi. Mahafari hayo yaliwahusisha wahitimu kutoka vyuo Vikuu vya MUM, SUA, Mzumbre, Jordan na Ardhi Institute - Morogoro