KILIMO KWA TEKNOLOJIA YA GREENHOUSE Katika makala hii tunawaletea fursa ya Greenhouse, katika kuiangalia fursa hii tutagusia maeneo yafuatayo: • Utangulizi, • Historia yake, • Faida zake, • Inchi zinazofanya vizuri kwenye kilimo cha greenhouse, • Aina zake, • Mazao yanayoweza limwa kwenye greenhouse, • Mtazamo wa wataalamu kuhusu kilimo cha kwenye greenhouse kwa inchi zinazoendelea. • Hitimisho. UTANGULIZI Ukifatilia makala na vyanzo vingi vya tafiti greenhouse imekuwa ikipatiwa tafsiri ya majina tofauti kwamfano: Nyumba ya Kijani , Banda kitalu n.k Vyovyote tutakavyoendelea kuiita teknolojia hii fursatz.com tunaamini cha muhimu ni kuelewa maana yake halisi. Greenhouse(Banda Kitalu):ni teknolojia ambayo imekuwepo duniani kwa sasa ambayo hutumika kwaajili ya kuipatia mimea mazingira mazuri ambayo fursatz.com tunaamini yatasaidia mimea au mazao kumea vizuri na kua na uzao mkubwa, mimea au mazao haya hupandwa kwenye banda,au nyumba maalumu. Teknologijia hii inatumika ...
Comments